sw_tn/dan/08/07.md

20 lines
486 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akamkanyaga
Kukanyaga kitu fulani kwa kutembea juu yake.
# kutoka katika nguvu zake
"kondoo kutoka kwa mbuzi kwasababu ya nguvu zake"
# mbuzi alikua akawa mkubwa
"mbuzi alikuwa mkubwa na mwenye nguvu"
# pembe kubwa ilivunjwa,
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Kitu fulani kiliivunja pembe kubwa"
# kuelekea pepo nne za mbingu.
Mahali hapa "pepo nne za mbinguni" ni nahau inayorejelea pembe kuu nne (kaskazini, mashariki, magharibi na kusini) kutoka huko pepo huvuma.