sw_tn/dan/06/04.md

12 lines
495 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi watawala wakuu wengine na magavana wa majimbo .... kwa ufalme
Watawala wengine walimwonea Danieli wivu. Hii yaweza kuwekwa dhahiri. "kisha watawala wengine na magavana wa majimbo walikuwa na wivu. Hivyo, wakatafuta makosa katika kazi za Danieli alizozifanya kwa ajili ya ufalme. "
# Hakuna kosa au uzembe uliopatikana ndani yake
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Hawakuweza kupata makosa au uzembe katika kazi yake."
# kumshitaki huyu Danieli
"kumlalamikia Danieli"