sw_tn/dan/02/07.md

16 lines
508 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mfalme na atuambie
Watu wenye hekima walimweleza mfalme kwa nafsi ya tatu kama ishara ya heshima.
# mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili
Maamuzi ambayo hayatabadilika yanasemwa kama ni kitu ambacho ni imara. "mmeona kwamba sitabadili maamuzi yangu juu ya hili"
# kuna sentensi moja tu kwa ajili yenu
"kuna hukumu moja kwa ajili yenu"
# uongo na maneno ya kudanganya
Maneno haya mawili kwa ukaribu yanamaanisha kitu kile kile na kutia mkazo kwamba huu ni "uongo uliokusudia kudanganya."