sw_tn/amo/09/05.md

8 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yeye ndiye avijengaye vyumba vyake mbinguni
Hizi ni kama hatua ambazo watu wa kale walitafakari kuongozwa kwenda sehemu ya Mungu mbinguni. Ingawa, baadhi ya matoleo ya kisasa yanategemea kusoma neno la Kiebrania tofauti kumaanisha "mahali" au "vyumba." Hapa "hatua zake" ni kama hutumika kama kirai kwa ajili ya mahali pa Mungu.
# na kuimarisha kuba yake juu ya dunia
Baadhi ya matoleo yametafsiri "ameimarisha mhimili wake juu ya dunia," hiyo ni, miundo ambayo dunia hupumzika.