sw_tn/amo/09/03.md

12 lines
399 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# joka
mnyama mkali wa baharini asiyejulikana, sio nyoka katika bustani ya Edeni na sio nyoka wa kawaida
# Nitaelekeza macho yangu juu yao
Kama lugha yako inamaneno ambayo yanamaanisha mzungumzaji anataka kufanyia wengine mazuri lakini pia inaweza kutumika wakati mzungumzaji anapotaka kufanya madhara, unaweza kuitumia hapa.
# na sio kwa uzuri
maneno kuhakikisha usikivu huelewa "kwa kuumiza"