forked from WA-Catalog/sw_tn
4 lines
212 B
Markdown
4 lines
212 B
Markdown
|
# Nachukia, nadharau sikukuu zenu
|
||
|
|
||
|
Neno "dharau" ni neno zito kwa "chuki." Kwa pamoja maneno yote mawili yanasisitiza msisitizo wa chuki ya Yahwe kwa ajili ya sikukuu zao za kidini. "Nachukia sikukuu zenu sana."
|