sw_tn/2sa/24/15.md

32 lines
585 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# muda uliopangwa
Huu ni muda Mungu aliokuwa amepanga kusitisha tauni.
# elfu sabini
"70,000"
# kutoka Dani hadi Beersheba
Hii inamaanisha taifa lote
# 6Malaika aliponyosha mkono wake kuelekea Yerusalemu ili kuuharibu
"mkono" unawakilisha nguvu ya malaika.
# Yahwe akabadilisha nia yake kuhusu madhara
Inamaanisha Yahwe alisitisha baya alilokuwa amemruhusu malaika kufanya.
# Basi rudisha mkono wako
"mkono" unamaanisha nguvu ya malaika.
# Arauna
Hili ni jina la mwanamme
# sakafu ya kupulia
Hii ilikuwa ni sehemu ngumu, iliyo na ubapa mahali nafaka zilikuwa zinapulwa.