forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
359 B
Markdown
12 lines
359 B
Markdown
|
# Maelezo ya Ujumla
|
||
|
|
||
|
Hii inaendeleza orodha ya mashujaa wa Daudi.
|
||
|
|
||
|
# Jeshi likarudi baada ya Eleaza
|
||
|
|
||
|
Hii inamaana jeshi lilirudi baada ya Eleaza kurudi kutoka vitani. Yaweza pia kuwa "Jeshi la Israeli lilirudi kwenye uwanja wa vita baada ya Eleaza kuwa ameshinda vita"
|
||
|
|
||
|
# kwa ajili tu ya kuteka nyara miili
|
||
|
|
||
|
"Kuchua pekee walivyotaka katika maiti za maadui"
|