sw_tn/2sa/22/40.md

20 lines
521 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea
# Unanivika nguvu kama mkanda kwa vita
Hapa nguvu atoazo Yahwe zafananishwa na mkanda unaomwezesha Daudi kufanya mambo yenye nguvu.
# unawaweka chini yangu wanaoinuka kinyume changu
"ulinisaidia kuwashinda walioshindana nami"
# migongo ya shingo za adui zangu
Maana yake yaweza kuwa 1) Daudi kuona migogo ya adui zake walipokimbia au 2) Daudi kuwaka mguu wake nyuma ya shingo ya adui zake baada ya kuwashinda.
# niliwaangamiza kabisa
"Niliwaangazi kabisa"