sw_tn/2sa/22/16.md

12 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
# Ndipo njia za maji zilipoonekana... pumzi ya pua zake
Yahwe alipopiga kelele katika shambulio lake kwa adui za Daudi, inalinganishwa na nguvu zake za kufanya mambo katika vilindi vya bahari na nchi. Hii inaonesha uwezo wake mkuu na hasira yake kali.
# misingi... ilifunuliwa
Daudi analinganisha hasira ya Yahwe na miondoka ya ardhi.