sw_tn/2sa/20/14.md

32 lines
723 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sheba akapita
Hapa "Sheba" inarejerea kwa wote Sheba na jeshi lake.
# Abeli wa Bethi Maaka
"Abeli wa Bethi Maaka." Majina yote yanahusu sehemu moja na yaweza kuunganishwa. Ni mji karibu na kabila ya Yuda.
# Wa Waberite
Hili ni jina la kundi la watu.
# na pia kumfuata Sheba
"Walimfuata Sheba pia"
# kujenga buruji
Hii inamaanisha walitumia silaha ya kubomolea kuungonga ukuta. Chombo hiki kilikuwa ni mti mrefu wenye ncha or kuwekewa ncha ya chuma. Kilishikiliwa na watu kadhaa ambao gonga ncha kwenye ukuta.
# Walimpata
"Yoabu na askari walimpata"
# dhidi ya ukuta kinyume cha mji
"dhidi ya ukuta wa mji"
# Sikilizeni, sikilizeni tafadhari
Kurudia kwa neno "sikilizeni" kunasisitiza ombi la mwanamke.