sw_tn/2sa/19/21.md

32 lines
954 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abishai
Hili ni jina la mwanamme
# Seruya
Hili ni jina la mwanamme.
# Je Shimei asife kwa hili kwa vile alivyomlaani mtiwa mafuta wa Yahweh?
Seruya alimkasirikia Shimei kwa kumlaani Daudi na anasema anapaswa kufa.
# Mtiwa mafuta wa Yahwe
Hii inamrejerea Daudi. Inamaana kwamba Daudi alikuwa mfalme aliyetiwa mafuta na Yahwe
# Nifanye nini nanyi... hata leo mkawa adui zangu?
Daudi anatumia swali hili kumkemea Abishai. Hii inamaanisha kwamba hawakuwa na sababu ya kuwa adui.
# Je mtu yeyote atauawa leo katika Israeli? Kwani sijui kama leo mimi ni mfalme juu ya Israeli?
Daudi anatumia swali kuendelea kumkemea Abishai. Kumaanisha "Hakuna mtu atakayeuawa leo katika taifa la Israeli.
# Je kuna mtu atakayeuawa
Kifungu "kuuawa" inamaanisha kunyongwa au kuuawa.
# Kwani sijui kama leo mimi ni mfalme juu ya Israeli?
Maana yake yaweza kuwa 1) "Ninajua kwamba mimi bado ni mfalme wa Israeli." 2) "Leo mimi ni mfalme juu ya Israeli!"