sw_tn/2sa/18/01.md

28 lines
613 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Daudi akawahesabu askari waliokuwa pamoja naye na akaweka
Daudi hakuhesabu watu wote mwenyewe, lakini ni watu wake waliowahesabu.
# Makapteni
Kapteni ni mtu mwenye mamlaka juu ya kundi la askari.
# moja ya tatu... tatu nyingine
2021-09-10 19:21:44 +00:00
tatu... tatu nyingine - "moja ya tatu ya jeshi... therusi nyingine ya jeshi." Therusi ni sehemu moja kati ya sehemu tatu ya kitu kimoja kizima.
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Abishai... Seruya
Haya ni majina ya wanaume
# Itai
Hili ni jina la mwanamme.
# Mgiti
Huyu ni mtu kutoka Gathi, mji wa Wafilisiti.
# Mimi mwenyewe nitakwenda pamoja nanyi pia bila shaka
Hii ni kwenda pamoja na jeshi vitani.