sw_tn/2sa/16/17.md

16 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Utiifu
Hisia nzito ya kusaidia na upendo
# Je huu ndiyo utiifu wako kwa rafiki yako? Kwa nini haukwenda pamoja naye?
Maswali haya yanaulizwa kumkosoa Hushai.
# Yule ambaye Yahwe
Hushai anamrejerea Absalomu
# Yule ambaye... huyo ndiye mtu... pamoja naye
Hapa Hushai anamrejerea Absalomu katika nafsi ya tatu kuchukua msisitizo kutoka kwake na kuelekeza kwa Yahwe na watu aliowachagua. Hii inaweza kuandikwa katika nafsi ya pili.