sw_tn/2sa/13/23.md

28 lines
688 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa baada ya miaka miwili mizima
Hii inamaanisha kuwa miaka miwili imepita na inatambulisha tukio linalofuata katika habari. Kifungu "mikaa kamili" inamaanisha miaka miwili kamili.
# Wakata manyoya
Hawa ni watu wanaokata manyoya ya kondoo
# Baal Hazori
Hili ni jina la mahali.
# Basi tazama
Hiki ni kifungu inachotumika kuonesha umakini kwa ajili ya kile kinachofuata.
# mtumishi wako
Absalomu anajiita "mtumishi wako" kuonesha heshima.
# Anawakatao kondoo manyoya
Ilikuwa desturi kwa watu katika Israeli kufanya sherehe baada ya kukata kondoo wao manyoya.
# mfalme aweza
Japokuwa na aongea na mfalme baba yake, anamwita "mfalme" badala ya "wewe" kuonesha heshima yake.