sw_tn/2sa/11/12.md

8 lines
245 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# alikula na kunywa mbele yake
Uria alikula na kunywa na Daudi
# chini katika nyumba yake
Maana pendekezwa hapa kwa neno "chini" 1) nyumba ya Uria ilikuwa chini ya ile ya Daudi. 2) nyumba ya Uria ilikuwa na umuhimu mdogo kuliko ile ya Daudi