sw_tn/2sa/08/03.md

32 lines
618 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha Daudi akamshinda Hadadezeri
Hapa wote "Daudi" na "Hadadezeri" wanawakilisha majeshi yao. "Daudi na jeshi lake walimshinda Hadadezeri na jeshi lake"
# Hadadezeri... Rehobu
Haya ni majina ya wanaume.
# Soba
Hili ni jina la jimbo katika Shamu.
# Kuurudisha ufalme wake
"Kurudisha utawala juu ya mkoa" au "kulishika tena mkoa"
# askari wa miguu ishirini elfu
"20,000 watu wa miguu"
# Daudi akawakata miguu
Hili ni tenda ambapo sehemu ya nyuma ya miguu inakatwa ili farasi wasiweze kukimbia.
# kutunza ya kutosha
"kutenga ya kutosha" au kutunza ya kutosha"
# vibandawazi mia moja
"vibanda wazi 100"