sw_tn/2sa/08/02.md

8 lines
373 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kisha akashinda
Hapa "yeye" inarejea kwa Daudi anayewakilisha askari wake.
# akawapima watu wakekwa mstari... akapima mistari miwili ya kuuwa, na mstari mmoja kamili wa kuacha hai.
Hapa "mstari" ni "kamba." Daudi aliwafanya askari walale chini ili wapimwe na kuwekwa katika makundi matatu. Waliokuwa katika makundi mawili waliuawa, na katika la tatu, waliachwa hai.