sw_tn/2sa/07/21.md

36 lines
952 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa ajili ya neno lako
Hapa "neno" linawakilisha alikiahidi Mungu.
# kutimiza kusudi lako mwenyewe
"kukamilisha ulichopanga kufanya"
# kwa mtumishi wako
Daudi anajirejerea kama "mtumishi wako."
# Kama tulivyosikia kwa masikio yetu
Kifungu "kwa macho yetu wenyewe" inatumika kwa msisitizo.
# Kama tulivyosikia
Hapa "sisi" inamwonesha Daudi na taifa la Israeli.
# Na ni taifa gani lililo kama watu wako Israeli, taifa pekee juu ya dunia ambalo wewe, Mungu, ukikwenda na kukikomboa kwa ajili yako mwenyewe?
Daudi anatumia msisitizo wa swali kwamba hakuna taifa lingine kama Israeli. Yaani: "Hakuna taifa lililo kama watu wako Israeli, taifa moja juu ya nchi ambalo wewe, Mungu, ulikwenda na kulikomboa kwa ajili yako."
# Kijifanyia jina wewe mwenyewe
Hapa "jina" inawakilisha heshima ya Yahwe.
# kwa nchi yako
Hapa "nchi" inawakilisha watu.
# Uliyaondoa mataifa
Hapa "mataifa" inawakilisha makundi ya watu waliokuwa wakiishi Kanaani.