sw_tn/2sa/03/12.md

20 lines
768 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa Daudi
Baadhi ya matoleo yanaongeza "alipokuwa huko Hebroni" na mengine yameondoa hiyo. Unaweza kuongeza kifungu ikiwa kimo katika toleo la taifa.
# Nchi hii ni ya nani?
Nakala la halisi ya swali hili haiko wazi. Maana pendekezwa ni 1) Abneri alikuwa na nguvu ya kumpa Daudi nchi. Yaani "Nchi hii ni yangu au 2) Daudi amechanguliwa na Mungu kuitawala nchi: Yaani nchi hii ni haki yako.
# mkono wangu uko pamoja nawe
Hapa "mkono" unawakilisha msaada waa Abneri anaoutoa kwa Daudi. Yaani:"Nitakusaidia"
# hautauona uso wangu mpaka umlete kwanza Mikali
Daudi anaeleza masharti ya kukutana na Abneri. Hapa "uso" inamhusu Daudi mwenyewe. Yaani: "Hautaniona mpaka umlete Mikali kwanza.
# Mikali
Hili ni jina la binti Sauli. Alikuwa mke wa kwanza wa Daudi.