sw_tn/2sa/03/01.md

16 lines
393 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa
Neno limetumika hapa kuonesha mkato katika habari kuu. Samweli hapa anatoa habari kuhusu vita kati ya Daudi na wafuasi wa Sauli.
# nyumba
hapa "nyumba" inamaanisha "wafuasi."
# kuwa imara zaidi na zaidi
kifungu hiki kinamaana ya idadi ya watu waliomsaidia Daudi kuongezeka
# kudhoofika zaidi na zaidi
kifungu hiki kinamaanisha kupungua kwa idadi ya walioisaidia nyumba ya Sauli