sw_tn/2sa/02/16.md

12 lines
402 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walianguka chini pamoja
Hii ni njia nyepesi ya kusema walikufa. Yaani "walikufa wote wawili"
# Helkathi Hazzurimu
Hili ni jina lilitotolewa kuwakumbusha watu kilichotokea pale.
# Vita ilikuwa kali sana siku ile
Inaweza kusaidia kueleza kwa ufupi kwamba hii ilikuwa vita kubwa iliyotokea baada ya mashindano ya vijana. Yaani "Wengine pia walianza kupigana pia. Ilikuwa vita kali sana siku hiyo"