forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
593 B
Markdown
12 lines
593 B
Markdown
|
# hawakutenganishwa wakati wa kufa kwao
|
||
|
|
||
|
Kirai "hawakutenganishwa"kinasisitiza kuwa walikuwa pamoja wakati wote. Inaweza pia kuwa kwamba "hata wakati wa kufa kwao walikuwa pamoja"
|
||
|
|
||
|
# Walikuwa wepesi kuliko tai, walikuwa na nguvu kuliko simba.
|
||
|
|
||
|
Sauli na Yonathani wanaongelewa kana kwamba walikuwa na kasi kuliko tai na nguvu kuliko simba.
|
||
|
|
||
|
# aliyewavika mavazi ya thamani pamoja na vito vya thamani, na aliyetia mapambo ya dhahabu katika mavazi yenu.
|
||
|
|
||
|
"Aliyewapa mavazi mazuri na mapambo." Virai viwili hivi vinamaana moja inayolenga juu kuwaandalia wanawake mavazi ya thamani na ya kuvutia.
|