sw_tn/2sa/01/14.md

24 lines
851 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini hakuogopa kumwua mtiwa mafuta wa Yahwe... mkono?
Mbalaga ni swali linalotumika kumkemea mtu. inaweza kutafsiriwa kama taarifa. Ulipaswa kumwogopa Yahwe na usingemwua mtiwa mafuta wake... mkono!"
# Mfalme aliyetiwa mafuta na Yahwe
Usemi huu unasimama badala ya Sauli, ambaye alikuwa amechaguliwa na Mungu.
# mkono wako
Kirai hiki kinaonesha kufanya jambo fulani wewe mwenyewe, wewe "mwenyewe" au "binafsi"
# Mpige chini
Nahau hii inamaanisha "alimwua."
# Damu yako i juu ya kichwa chako
Hapa "damu" inaonesha "kumwaga damu" na inahusishwa na kifo. Hapa "kichwa chako" inamwonesha yule mtu na inamaanisha kwamba anawajibika. Yaani "unahusika kwa kifo chako mwenyewe" au "Umesababisha kifo chako mwenyewe"
# kinywa chako kimeshuhudia dhidi yako
Hapa "kinywa chako mwenyewe" inamwone yule mtu mwenyewe. "Umejishuhudia mwenyewe"