sw_tn/2ki/24/10.md

8 lines
481 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yekonia mfalme wa Yuda akatoka nje kwenda kwa mfalme wa Babeli, yeye, mama yake, maafisa wake
Unaweza kuhitaji kufanya ufafanuzi kwa nini Yekonia alienda kumlaki Nebukadreza. "Yekonia mfalme wa Yuda, mama yake, watumishi wake, wana wake, na maafisa wake wote walienda hata ambapo mfalme wa Babeli alipokuwa, kusaliti amri kwake"
# Mfalme wa Babeli akamteka katika mwaka wa nane wa utawala wake
"Baada ya mfalme wa Babeli kuwa mfalme kwa mda wa miaka saba, alimchukua Yekonia"