sw_tn/2ki/20/19.md

20 lines
521 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa kuwa alifikiri
"Kwa sababu Hezekia alifikiri"
# je hakutakuwa na amani na utahbiti huko katika siku zangu?
Hezekia anauliza hili swali kwa kusisitiza kujua jibu tayari. "Ninaweza kuwa na uhakika kwamba kutakuwa na amani na thabiti katika siku zangu."
# bwawa
Eneo dogo litunzalo maji
# mfereji
Njia ya kubebea maji
# je yameandikwa katika Kitabu cha matukio ya Wafalme wa Yuda?
Hili swali linatumika kumkumbusha msomaji haya mambo hameandikwa. "yameandikwa katika kitabu cha historia cha Wafalme wa Yuda."