sw_tn/2ki/15/27.md

12 lines
604 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika mwaka wa hamsini na mbili wa Uzia mfalme wa Yuda
2021-09-10 19:21:44 +00:00
mwaka wa pili wa Azaria mfalme wa Yuda - Inaweza kuelezwa wazi kwamba huu ni mwaka wa hamsini na mbili wa utawala wake. "Katika mwaka wa 52 wa uwala Azaria mfalme wa Yuda"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# yaliyo maovu usoni mwa Yahwe
Uso wa Yahwe unawakilisha hukumu ya Yahwe. "yaliyo maovu katika hukumu ya Yahwe" au "kile yahwe aonacho kuwa kiovu"
# Hakuaziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati
Kuacha dhambi inawakilisha kuacha kufanya hizo dhambi. "Zekaria hakuacha kufanya dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati" au "Aliasi kama Yeroboamu mwana wa Nebati alivyo asi"