sw_tn/2ki/15/08.md

32 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika mwaka wa thelathini na nane wa Azaria mfalme wa yuda
2021-09-10 19:21:44 +00:00
mwaka wa nane wa Azaria mfalme wa Yuda - Inaweza kuelezwa wazi kwamba hii ni miaka thelathini na nane mwaka wa utawala wake. "Katika mwaka wa 38 wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda"
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zakaria mwana wa Yeroboamu
Huyu Yeroboamu alikuwa mfalme wa pili wa Israeli ambaye alikuwa na hilo jina. Alikuwa mwana wa mfalme Yoashi.
# alitawala juu ya Israeli katika Samaria kwa miezi sita
Samaria ni mji ambao Zekaria aliishi huko alipokuwa mfalme wa Israeli. "aliishi Samaria na kutawala juu ya Israeli kwa miezi sita"
# Alifanya yaliyo maovu
"Zekaria alifanya yaliyo maovu"
# yaliyo maovu katika uso wa Yahwe
Uso wa Yahwe unawakilisha hukumu ya Yahwe. "yaliyo maovu katika hukumu ya Yahwe" au "kile Yahwe afikiriacho kuwa uovu"
# Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nabeti
Kuziacha`dhambi inawakilisha kuzifanya hizo dhambi. "Zekaria hakukataa kufanya dhambi za Yeroboamu mwana wa Nabeti" au "aliasi kama Yeroboamu mwana wa Nabeti alivyo asi"
# Yeroboamu mwana wa Nabeti
Huyu Yeroboamu alikuwa mfalme wa kwanza kati ya makabila kumi ya kaskazini ambayo yaliutengeneza ufalme wa Israeli.
# ambaye aliisababisha Israeli kuasi
Hapa neno "Israeli" linawakilisha watu wa ufalme wa Israeli. "ambao walisababisha watu wa Israeli kuasi"