sw_tn/2ki/13/22.md

12 lines
599 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini Yahwe aliwahurumia Israeli, na alikuwa na huruma juu yao na kushuhulika kwa ajili yao
Inaweza kuwa msaada kugawanya sentensi yake kwenye sehemu ndogo ndogo. "Lakini Yahwe alikuwa mkarimu sana kwa watu Waisraili. Aliwasaidia" (UDB)
# Hivyo Yahwe hakuwaangamiza
Agano ya Yahwe ni sababu hakuiangamiza Israeli. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Hii ni sababu kwamba Yahwe hakuwaangamiza" au "Kwa sababu ya agano lake, Yahwe hakuwaangamiza"
# hakuwatupa kutoka kwenye uwepo wake
Kukataa kwa Yahwe kunazungumziwa kana kwamba alikuwa akiitoa Israeli kwa mwili kutoka alipokuwa. "hakuwakataa" (UDB)