sw_tn/2ki/13/03.md

24 lines
982 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hasira ya Yahwe ikawaka juu ya israeli
Yahwe kuwa na hasira na Israeli inazungumziwa kana kwamba hasira yake ilikuwa moto uliokuwa unawaka. "Kisha Yahwe akawa na hasira sana na Israeli"
# akaendelea kuwakabidhi kwenye mikono ya Hazaeli mfalme wa Shamu na kwenye mikono ya Ben Hadadi mwana wa Hazaeli
Hapa "wao" inarejea kwa Israeli na "mkono" inarejea kwenye nguvu kuwatawala. "kumruhusu Hazaeli mfalme wa Shami, na Ben Hadadi, mwanaye, kuwashinda mara kwa mara Waisraeli katika vita"
# kumsihi Yahwe
"kumuomba Yahwe"
# aliona mateso ya Israeli, vile mfalme wa Shamu alivyokuwa akiwatesa
Haya maneno mawi yanamaaanisha kitu kimoja na yamerudiwa kusisitiza. "ukandamizaji" inamaanisha kama "mfalme wa Shami alivyokuwa akiwakandamiza."aliona mara kwa mara mfalme wa Shami alikuwa akiwakandamiza Israeli"
# mkombozi
"mtu wa kuwaokoa"
# walikimbia kutoka kwenye mkono wa Washami
Hapa "mkono" unarejea kwa nguvu ya kuwatawala. "aliwawezesha kuwa huru kutoka nguvu ya Shami"