sw_tn/2ki/12/17.md

28 lines
767 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hazaeli mfalme wa Shamu akatekwa ... Hazaeli akarudi kuishambulia
Hii inarejea kwa jeshi la Hazaeli pia kama kwa Hazaeli. "Hazaeli mfalme wa Shamu na jeshi lake wakashambuliwa ... Kisha wakarudi kushambulia"
# Hazaeli
Hili ni jina la mfalme wa nchi ya Siria.
# kuichukua
"kushinda na kuitawala"
# Yehoshafati na Yehoramu na Ahazia, baba zake
Hawa watu walikuwa wafalme waliopita wa yuda.
# iliyotengwa
"weka wakfu"
# dhahabu iliyokuwa imepatikana katika vyumba vya kuhifadhi"
"dhahabu ambayo ambayo ilikuwa imehifadhiwa kwenye vyumba vya kuhifadhi"
# Kisha Hazaeli akaondoka kutoka Yerusalemu
Zawadi Yoashi alizompatia Hazaeli zilimshawishi asiishambulie Yerusalemu. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Basi Hazaeli aliacha kuishambulia Yerusalemu na kuondoka"