sw_tn/2ki/08/07.md

36 lines
798 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ben Hadadi
Hili ni jina la mfalme wa Shami. Jina lake linamaanisha "mwana wa Hadadi."
# Hazaeli
Hili ni jina la kiume.
# Chukua zawadi
Hazaeli alichukua zawadi nyingi, sio moja tu. "chukua zawadi nyingi"
# katika mkono wako
Hili neno "katika mkono wako" ni lugha inayomaanisha kwake kuchukua zawadi pamoja naye. "pamoja nawe"
# mtu wa Mungu
Elisha, mtu wa Mungu"
# kushauriana na Yahwe kupitia yeye, kusema
"muulize Elisha kumwambia Yahwe"
# kubeba ngamia arobaini
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. "alibeba ngamia arobaini"
# ngamia arobaini
"ngamia 40"
# Mtoto wako Ben Hadadi mfalme wa Shamii
Ben Hadadi hasa alikuwa mwana wa Elisha, lakini Hazaeli alimuita ili kwamba kuonyesha uhusiano wa karibu kati yao. "Ben Hadadi mfalme wa Shami, ambaye ni kama mtoto kwako,"