sw_tn/2ki/06/22.md

37 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Elisha akajibu
Elisha alikuwa akimjibu Elisha mfalme wa Israeli swali.
# Ungeweza kuwaua wale ambao uliokuwa umewachukua mateka kwa upanga na upinde wako?
Elisha anauliza hili swali lisilo na majibu kusisitiza kwa mfalme kwamba asiwaue hawa watu.
# ulikuwa umechukuliwa mateka na upanga wako na upinde
Hii inawazungumzia maaskari wa mfalme kuwachukua watu mateka kana kwamba mfalme mwenyewe alikuwa ndiye aliye wateka. "maaskari wako walikamatwa mateka pamoja na panga zao na mikuki"
# pamoja na upanga wako na upinde
Hizi ni silaha zilizokuwa zikitumika katika vita. "katika vita pamoja na upanga wako na upinde"
# Weka mkate na maji mbele yao, kwamba wanaweza kula na kunywa
Hapa "mkate" unarejea kwa chakula kwa ujumla. "Kuwapatia chakula kula na maji kunywa,"
# nenda kwa bwana wao
Hii inarejea kwa mfalme wa Shami.
# Hivyo mfalme aliandaa chakula kwa ajili yao
Mfalme aliwaagiza watumishi wake
kuandaa chakula. Hakuandaa chakula mwenyewe. "Kisha mfalme aliwaagiza watumishi wake kuandaa chakula kingi kwa ajili yao"
# Hale makundi
"Hayo makundi"
# halikurudi kwa mda mrefu katika nchi ya Israeli.
Hii inamaanisha kwamba hawakuishambulia Israeli kwa mda mrefu. "kuacha kuishambulia nchi ya Israeli kwa mda mrefu"