sw_tn/2ki/05/15.md

20 lines
740 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
Hili neno limetumika hapa kuleta usikivu wa mtu kwa kile kitakachosemwa.
# hakuna Mungu katika dunia yote isipokuwa katika Israeli
Hii inaweza kuelezwa katika muundo chanya. "Mungu wa Israeli ndiye Mungu pekee wa kweli!"
# Kama Yahwe aishivyo, ambaye nimesimama mbele yake
"Kwa hakika kama nijuavyo kwamba Yahwe yu hai, abaye nimesimama mbele zake." Bila shaka hapa Elisha analinganisha kwamba Yahwe yu hai kwa hakika kwamba hatapokea zawadi yeyote kutoka kwa Naamani. Hii ni njia ya kufanya agano la sherehe.
# ambaye nimesimama mbele zake
Hapa kumtumikia Yahwe inazungumziwa kama kusimama katika uwepo wake. "ambaye namtumikia"
# sintopokea kitu
Hii inamaana kwamba hatapokea zawadi zozote. "sintachukua zawadi zozote"