sw_tn/2ki/03/18.md

12 lines
509 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hiki ni kitu rahisi usoni mwa Yahwe
Hapa "uso" wa Yahwe inarejea kwa kile afikiriacho. "Yahwe anaichukulia hii kama kitu rahisi kufanya" "Hili ni jambo rahisi kwa Yahwe kufanya" (UDB)
# mji imara
Mji imara umelindwa vizuri kutokana na maadui. kwa vitu kama kuta ndefu.
# kuziharibu sehemu zote nzuri za nchi na miamba
Hii inamaanisha kuweka mawe juu nchi yenye rutuba ili kwamba iwe vigumu kutumia. Maana ya hii sentensi inaweza kuwekwa wazi. "kuviharibu kila vipande vya nchi kwa kuvifunika kwa mawe"