sw_tn/2ki/03/09.md

24 lines
755 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wafalme wa Israeli, Yuda, na Edomu
Hii inawarejea wafalme walioongozana karibu na majeshi yao. "wafalme wa israeli, Yuda, na Edomu na majeshi yao"
# alikwenda nusu duara
Hii inaeleza kwa njia isiyo sahihi walivyo safiri kama ilivyotajwa katika 3:7.
# nusu duara
Tao ambayo imeumbwa kama nusu duara.
# Hapakuwa na maji
Hii inaweza kuelezwa katika umbo tendaji. "Hawakukuta maji" au "Hawakukuta maji yoyote"
# Hii ni nini? Je Yahwe amewaita wafalme watatu kuwatia kwenye mkono wa Moabu?
Mfalme anatumia swali lisilo na majibu kusisitiza ulivyo ujinga na na vile hali yao ilivyo mbaya. Hii inaweza kaundikwa kama kauli.
# kuwawekakwenye mkono wa Moabu
Hapa "Moabu" inarejea kwa jeshi lake. Pia, "mkono wa Moabu" unarejea kwa "utawala" wa Moabu.