sw_tn/2ki/02/11.md

20 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tazama
Neno "tazama" linatutahadharisha kuwa makini kwa habari inayoshangaza ifuatayo.
# gari la farasi la moto na farasi za moto
Hapa neno "ya moto" inamaanisha kwamba vilikuwa vimezungukwa kwa moto. "gari la farasi lilizungukwa kwa moto likivutwa na farasi waliozungukwa kwa moto"
# kwenda juu mbinguni kwa uvumi
"alibebwa juu kwenye anga kwa uvumi."
# Baba yangu, baba yangu
Elisha anamwita Eliya mheshimiwa kiongozi wake.
# kuzichana kuwa vipande viwili
Watu huchana nguo zao marar chache kama ishara ya masikitiko makubwa au huzuni. "akazichana katika vipande viwili kuonyesha huzuni yake kubwa"