sw_tn/2ch/28/14.md

12 lines
215 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Viatu.
Hiii ilikuwa aina fulani ya viatu ambavyo vilikuwa vya wazi.
# Wakawahudumia majeraha yao.
"Waliwapa huduma ya matibu."
# Wakawaweka waliodhaifu juu ya punda.
"Wakawapa punda wale wasioweza kutembea."