sw_tn/2ch/15/16.md

12 lines
246 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla:
Maaka ni jina la kike na Asa ni jina la kiume. Maaka alikuwa malkia, yaani mke wa mfalme Asa.
# Sanamu ya kuchukiza
Sanamu
# Moyo wa Asa ulijito kikamilifu siku zake zote
Asa alimtii na kumfuata Yahwe maisha yake yote. .