sw_tn/2ch/09/03.md

12 lines
355 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikulu aliyokuwa amejenga, 4chakula mezani kwake, mahali pa kukaa watumishi wake, kazi ya watumisshi wake na mavazi yao.
Beth Sheba aliona mambo yote ya Selemani ya kushangaza.
# Wabeba kikombe.
Hawa walikuwa watumishi walio onja kinywaji kabla mfalme hajanywa ili kupima kama haina sumu.
# Hapakuwa na roho zaidi ndani yake
"Hakujaa akiburi tena".