sw_tn/2ch/07/19.md

4 lines
270 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitawang'oa kutoka kwenye nchi yangu amabayo nimewapa.
"Nitawaondoa kwenye nchi yangu." Inafanalinganisha kuvuta mizizi ya mimea kwa kuindoa kwenye ardhi, na kuondolewa kwa watu wa Mungu kutoka kwenye nchi yake. Matokeo yake yatakuwa kuangamia kwa na huzuni ya watu.