sw_tn/1sa/31/11.md

16 lines
207 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yabeshi
Hili ni jina la mji.
# kile ambacho Wafilisti walimfanyia Sauli
"namna ambavyo Wafilisti walimdharau Sauli"
# usiku wote
"usiku kucha"
# Mkwaju
Huu ni aina ya mti, "mti mkubwa wenye kivuli"