sw_tn/1sa/24/05.md

12 lines
218 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo wa Daudi ukamchoma
"Daudi alihuzunika kwa sababu alitenda jambo baya"
# Mtiwa mafuta wa Bwana
"mtu ambaye Bwana alimchagua kuwaongoza watu wake"
# kunyoosha mkono wangu juu yake
"kumdhuru kwa namna yoyote"