sw_tn/1sa/23/19.md

12 lines
238 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je, Daudi hakujificha kati yetu kwenye ... Yeshimoni?
"Daudi amejificha kati yetu kwenye ... Yeshimoni?
# Yeshimoni
Hii ni maana nyingine ya "jangwa"
# kumtia katika mkono wa mfalme
"kumleta Daudi kwako ili ufanyie kama uavyotaka"