sw_tn/1sa/20/26.md

4 lines
224 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hayuko safi; hakika hayuko safi
Kwa mujibu wa sheria ya Musa, mtu asiye najisi kwa sherehe sio kushiriki katika sikukuu mpaka kuhani atangaza kwamba yeye ni safi. Sauli anarudia maneno haya kama anajaribu kujihakikishia.