sw_tn/1sa/20/14.md

20 lines
812 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Yonathani anamwomba Daudi asiwauwe kabisa watoto wake wote ili mabaki yasalie.
# hautanionesha uaminifu wa agano la BWANA, kwamba siwezi kufa?
Yonathani anauliza swali hili kuthibitisha kwamba Daudi atafanya jambo hili. Swali hili la uhuishaji linaweza kutafsiriwa kama taarifa. AT "Tafadhali unionyeshe uaminifu wa agano la Bwana, ili nisipate kufa"
# nionesha uaminifu wa agano la Bwana
"Nionyeshe aina ya uaminifu wa agano kwamba Bwana anaonyesha"
# nyumba ya Daudi
Neno "nyumba" ni metonym kwa watu wanaoishi ndani ya nyumba. AT "familia ya Daudi"
# Bwana awe na uhasimu kutoka kwa mkono wa maadui wa Daudi
Mkono ni kingo kwa mtu. Maana iwezekanavyo ni 1) "Na Bwana awatumie maadui wa Daudi kumuadhabu ikiwa Daudi atavunja ahadi hii" au 2) "Na Bwana awaangamize maadui wa Daudi."