sw_tn/1sa/19/12.md

8 lines
528 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla
Mikali anamsaidia Daudi kumtoroka Mfalme Sauli. Anatumia sanamu ili kuonekana kwamba Daudi aonekane kuwa amelala kitandani.
# akaweka mto wa singa za mbuzi kichwani pake, na akakifunika na nguo
Inawezekana maana ni 1) kichwa cha sanamu kilikuwa kimelala mto wa nywele za mbuzi na Mikali amevaa sanamu katika nguo za Daudi au 2) Mikali alitumia nguo za Daudi kama kifuniko ili kufunika kabisa sanamu na akafanya "mto" wa nywele za mbuzi kuonekana kama nywele za Daudi zikidondoka chini ya blangeti ya nguo.