sw_tn/1sa/18/10.md

16 lines
527 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# roho ya ubaya kutoka kwa Mungu
Hapa "roho ya ubaya" inaweza kutaja "roho inayosababisha shida" au "roho ya ubaya." Tazama jinsi ulivyotafasiri hii katika 16"14.
# roho ya ubaya kutoka kwa Mungu ikamwingia Sauli
Maneno "ikamuingia" yanamaanisha roho ya madhara yalisaidia Sauli. Katika kesi hii ina maana kwamba umesababisha Sauli kuwa na wasiwasi na kutenda mambo. Tazama jinsi ulivyotafasiri maneno sawa katika 10:5.
# na akachukiza
"Naye akajifanya kichaa"
# Bwana alikuwa pamoja nae
"Bwana alikuwa pamoja na Daudi"