sw_tn/1sa/17/50.md

12 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Daudi alimshinda ... Alimpiga ... kumuua ... Mkononi mwa Daudi hakukuwa na upanga
Mstari wa 50 unaonesha ushindi wa pekee wa Daudi juu ya Goliati. Inaonesha namna ambavyo Daudi alimuua Goliati.
# Ndipo Daudi akakimbia akasimama juu ya Mfilisti
Daudi alifanya hivi baada ya Goliati kuanguka chini.
# Akachukua upanga wake
"akachukua upanga wa Mfilisti"