sw_tn/1sa/14/29.md

20 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nchi
Hii inawakilisha taifa la Israeli.
# Macho yangu yalitiwa nuru
Sentensi hii inamaanisha kuwa alipata nguvu. "alirejeshewa nguvu zake"
# Je, siyo vizuri sana kama watu ... walizopata?
Yonathani anatumia swali hili kueleza kuwa watu walitakiwa waruhusiwe kula. "Ushindi wetu ungekuwa mzuri sana ikiwa watu wangekuwa huru kula nyara walizochukua toka kwa adui zao"
# Nyara
Hivi ni vitu ambavyo watu huchukua wakiwa vitani toka kwa adui zao.
# Kwa sababu sasa mauaji hayakuwa makubwa
Kwa sababu askari hawakuweza kula wakati wa vita walikuwa dhaifu. Kwa sababu hii hawakuweza kuwaua Wafilisti wengi.